Shirika la Afya Duniani WHO limeonya kwamba watu wanaotoka
katika maeneo ambayo yana maambukizi na kusambaa kwa ugonjwa wa ZIKA
wanapaswa kujihusisha mahusiano salama ya ndoa wenzi wao katika kipindi
cha miezi sita ili kuzuia uwezekano wa kusambaa kwa ugongwa huo.
ZIKA ni ugonjwa ambao unasambazwa na mbu husababisha watoto kuzaliwa na vichwa vidogo.
Ugonjwa huo huambukizwa kwa binanadumu kupitia maji maji ya mwili hivyo wataalamu wa afya wanaonya kwamba watu hasa wapenzi wanaotoka katika maeneo yenye maambukizi ya ZIKA kuchukua tahadhari ya kuambukizana ugonjwa huo.
September 7, 2016
MBOZI KATALA

Post a Comment