Ripoti za awali zimesema tetemeko hilo lenye kipimo cha Richter 5.7 limeharibu nyumba nyingi mkoani Kagera.
Majengo kadha yanaripotiwa kuharibiwa katika miji iliyo karibu.
Hata hivyo hakuna taarifa zaidi za kuwepo maafa . Mitetemeko mingine midogo pia ilisikika katika mataifa jirani ya Kenya na Rwanda.
Tutawajuza jinsi habari zaidi zitakavyokuwazinapatikana.
Post a Comment