Mnamo tarehe 28/09/2017 VOICES walikutana na wadau wa vijana na sio wengine ni RESTLESS DEVELOPMENT pale kawe kisiwani katika jengo la REGENT PARK . kwenye ofisi za RESTLESS DEVELOPMENT chini ya uongozi wa mradi KIJANA WAJIBIKA .
MAMBO YAFUATAYO YALIJADILIWA KWA PAMOJA
1.Swala zima la kijana na uwajibikaji
namna gani vijana wanaweza kutumia fursa wanazokutana nazo katika kujinasua kiuchumi nz taifa kwa ujumla.
2. Afya ya jamii
jinsi ya kulinda na kuifanya afya ya jamii kuzidi kuimarika
3.VOICES GUIDANCE AND COUNCLING PROGRAME
Ni huduma iliyoanzishwa na voices ya kuwapati malezi bora wanafunzi wote Tanzania wa shule za msingi na sekondari.
pia voices na restless development walifikia hitimisho juu ya kufanya kazi kwa pamoja kwa maendeleo ya TANZANIA yetu .
Post a Comment