Kwa muda mrefu huduma ya upasuaji nchini Tanzania imekuwa ikitumia mbinu zinazo walazimu madaktari kumpasua mgonjwa katika baadhi ya maeneo ya mwilini kwa mjibu wa utalaamu wa kitabibu hali ambayo husababisha majeraha na maumivu ya eneo lililopasuliwa.
Na sasa mfumo mpya wa upasuaji umeanza,ambapo hakuna ulazima wa kumpasua tena mgonjwa bali hupewa huduma hiyo kupitia vijitundu vidogo tofauti na mfumo wa zamani hali inayopunguza maumivu na maambukizi .
Mwandishi wa BBC Halima Nyanza ameshuhudia aina hiyo mpya ya upasuaji na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Post a Comment