![]() |
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto UMMY MWALIMU |
Waziri UMMY MWALIMU amesema kuwa mpango huo unalenga kupunguza wagonjwa wanaofikishwa katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road iliyopo Jijini DSM wakiwa katika hatua za mwisho.
Waziri huyo wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ametoa kauli hiyo mkoani DODOMA wakati wa mafunzo ya Usimamizi na Udadisi wa Utafiti wa Viashiria na Matokeo ya Ukimwi hapa nchini.
September 15, 2016
IDD MAALIM
== =
Post a Comment